Hassani Kaunje ashinda kiti cha Ubunge Lindi Mjini

Oct 26

Mgombea wa kiti cha ubunge kupitia tiketi ya CCM, Hassani Selemani Kaunje kutoka Jimbo la Lindi Mjini aibuka kidedea na kuwa Mbunge kwa kupata jumla ya kura 20733. Huku mpinzani wake toka chama cha CUF kushindwa kwa kupata jumla ya kura 18834. Wananchi wa Jimbo Lindi Mjini washangilia kupita kwa mgombea huyo kutoka tiketi ya CCM.