banner

Panguso

Jumatatu - Alhamis

Ushabiki wa mpira unaibua uhasama na ushindani mkubwa kati ya mitaa miwili na kupelekea mauaji yaliyobadili hatma ya maisha ya watu katika mitaa hiyo. Chuki visasi na usaliti vinatawala lakini mapenzi yanapenya kwenye vuguvugu hili, lakini mapenzi haya yateleta amanani au uhasama zaidi?

Jibu lipo kwenye PANGUSO, taamthilia ya aina yake itakayokuburudisha, kukuelemisha na kukufanya uyajue maisha ya uswahilini na vituko vyake kindakindaki.

Next episode

Jibu lipo kwenye PANGUSO, taamthilia ya aina yake itakayokuburudisha, kukuelemisha na kukufanya uyajue maisha ya uswahilini na vituko vyake kindakindaki.

Marudio ni 5:30 asubuhi na 12:30 Jioni