banner

Mama Kimbo

Coming Soon

Ushirikina unaomhusu na kumzunguka Mama mwenye saloon maarufu inayofahamika kama Saloon ya Mama Kimbo.

Vituko vya uswahilini, kwenda kwa waganga na kushikana uchawi. Yote haya yanaibua uhalisia wa maisha ya uswahilini na namna saloon za mtaani zinavyoweza kuhusika kumdhuru mtu kwa ushirikina.

Next episode

Kaa na popcorn zako tayari. Next Episode Coming Soon

Mama Kimbo Characters