banner

Single Mama

Jumatatu - Alhamis

Kwa wengine ndoa ni asali tamu inayowapa raha na kuiona dunia kama pepo, lakini kwa wengine ndoa ina changamoto, tabu, mateso na mifarakano inayopelekea wanawake kuachwa na mzigo wa kulea watoto peke yao.

Shuhudia harakati za single mama akipambana kuwalea watoto wake na kukabiliana na changamoto zinazo mzunguka.

Next episode

Shuhudia harakati za single mama akipambana kuwalea watoto wake na kukabiliana na changamoto zinazo mzunguka.

Marudio ni 5:00 asubuhi na 12:00 Jioni

Single Mama Characters