Vedastus Mathayo atangazwa kuwa Mbunge Musoma Mjini.

Oct 26

Kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Vedastus Mathayo aibuka kuwa mshindi kwa kiti cha Ubunge Musoma Mjini. Hii ni baada ya kushinda kwa kura 32,836 sawa na 55.45%, huku mpinzani wake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) chini ya mwavuli wa UKAWA kushindwa kwa kupata kura 25549 sawa na 43.14%.