NEC YATANGAZA MATOKEO YA URAIS KATIKA MAJIMBO MATATU.

Oct 26

Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imetangaza matokeo ya urais katika majimbo matatu, jimbo la Kunduchi, Lulindi na Paje.

KUNDUCHI- Lowassa - 1,769 (17.09%)

                  Magufuli - 8,406 (81%)

LULINDI - Lowassa - 11,543 (26.03%)

              Magufuli - 31,603 (71%)

PAJE -   Lowassa - 1,899 (23%)

            Magufuli - 6,035 ( 75%)