ESTHER MATIKO ASHINDA UBUNGE

Oct 26

Mgombea wa CHADEMA Esther Matiko ametangazwa mshindi wa kiti cha ubunge Tarime Mjini kwa kupata kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake Kembaki Michael Mwita wa CCM aliyepata kura 14,025.